Kuna baadhi ya members wakichangia tu uzi wako unabuma sijui wana nyota gani?!

Mtoa mada labda raha yake ni kuona watu wanajibizana tu, kuna members wengine huchangia vizuri kiasi kwamba ukisoma alichokomenti basi unaona mjadala umefungwa. Katika hali ya namna hiyo hakuna haja ya kuchangia tena kwani suluhisho linakuwa lishapatimana
 
Halafu katuachia na uzi wake kabisa
 
Da! Kuna baadhi ya members yaani........

# 1 hours ago

# 168 replies

# 1k views

[emoji4]
 
Hahahaha nimecheka hatari.
Naomba Mungu nisiwe wa mwisho kuchangia huu uzi
 
Anzisha uzi pale unapoona kuna haja ya kufanya hivyo na usifanye kitu kwa kutegemea like ama comment
 
Back
Top Bottom