Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
WoyooooooooooUnskosa je sasa bby wakati hata password za m.pesa unazijua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WoyooooooooooUnskosa je sasa bby wakati hata password za m.pesa unazijua?
[emoji16][emoji16]Mi niko apa mpaka mwisho
UchocheziiiWoyoooooooooo
Watu na asili zao bana[emoji23] kuna wengine kama waliumbwa na madini ya kutengenezea helaHahahahaha
Halafu katuachia na uzi wake kabisaMtoa mada labda raha yake ni kuona watu wanajibizana tu, kuna members wengine huchangia vizuri kiasi kwamba ukisoma alichokomenti basi unaona mjadala umefungwa. Katika hali ya namna hiyo hakuna haja ya kuchangia tena kwani suluhisho linakuwa lishapatimana
Hahaha mimi upendo kwanza halafu pesa namalizia na furahaaWatu na asili zao bana[emoji23] kuna wengine kama waliumbwa na madini ya kutengenezea hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu na asili zao bana[emoji23] kuna wengine kama waliumbwa na madini ya kutengenezea hela
Upi huo tena jamaniUchocheziii
Hapana sijawaachia naufuatilia nione Uzi utakatikia mikononi mwa nani. So far mpaka sasa mwenye Nyota Bumishi hajaja ngoja tusubili.Halafu katuachia na uzi wake kabisa