Kuna baadhi ya members wakichangia tu uzi wako unabuma sijui wana nyota gani?!

Sijui ni kwenye Thread zangu tu au na Zenu pia?

Yaani hata Thread iwe Nzuri na Inatrend Vizuri kuna baadhi ya Members yaani wakichangia tu hapohapo na Uzi una Buma.

Yaani Uzi unakosa wachangiaji na hata Viewers wanapungua sijui huwa wana nguvu gani ya Kubumisha Uzi namna hiyo.

Kama kuna likes zilikua zinatoka Wakishachangia tu hawa jamaa Likes zinakata Ghafla sijui huwa wanaushawishi gani hawa Members.
So What?. Dogo lazima utanyooka tu
 
Ndio wanga wenyewe hao mkuu
 
Doh, sasa ukipata likes na komenti nyingi zinakusaidia nini mkuu katika maisha yako ya kila siku?
Duuh! Mdogo wangu umewaza nilichokuwa nakiwaza mie.

Mie sionagi kama zina faida sababu kuna nyuzi unakuta zina page kibao na likes ila ukiangalia vilivyoandikwa vya maana havizidi 20.

Apunguze presha maisha ndio haya haya na ujumbe kama kufika unafika tu hata pasi wachangiaji na likes nyingi.
 
Hahaha na wapo wenye nyota ya kukimbiza uzi..yani wakija kwenye uzi wako unakimbia haswa....hajar na familia yake hahahahaha
 
Nahisi like zimekata tayari ushamjua mchawi wako, komaa naye
 
Sijui ni kwenye Thread zangu tu au na Zenu pia?

Yaani hata Thread iwe Nzuri na Inatrend Vizuri kuna baadhi ya Members yaani wakichangia tu hapohapo na Uzi una Buma.

Yaani Uzi unakosa wachangiaji na hata Viewers wanapungua sijui huwa wana nguvu gani ya Kubumisha Uzi namna hiyo.

Kama kuna likes zilikua zinatoka Wakishachangia tu hawa jamaa Likes zinakata Ghafla sijui huwa wanaushawishi gani hawa Members.
Daa wew kijana unaonesha wazi hisia zako kwani mpaka sasa mimi najua wewe ni chadema nadhani pia sio kosa la member ila heading zako unavoziandika unafanya watu waziruke bila kufungua yaani hazina mvuto

Yote na yote nimecheka sana huu uzi wako kuhusu confidence kitandani
Wanawake wanaolialia kitandani huongeza confidance ya mwanaume
 
Sijui ni kwenye Thread zangu tu au na Zenu pia?

Yaani hata Thread iwe Nzuri na Inatrend Vizuri kuna baadhi ya Members yaani wakichangia tu hapohapo na Uzi una Buma.

Yaani Uzi unakosa wachangiaji na hata Viewers wanapungua sijui huwa wana nguvu gani ya Kubumisha Uzi namna hiyo.

Kama kuna likes zilikua zinatoka Wakishachangia tu hawa jamaa Likes zinakata Ghafla sijui huwa wanaushawishi gani hawa Members.
Comment or like hazinamaaana saana katika thread ujumbe kama umefika umefika tu na pia huku weng washazoea maneno mepesi mepesi ukiandika kile cha ndani zaid watu hawacoment kwakuwa hawaelewi na wanaogopa kuingia katika mitego

Na pia humu watu wana watu wao wakiona thread zao bas wanafuata huko

Sis tushazoea hayo ni ya kwaida saana humu ndio maana nasema hii jamiiforum ya sasa sio ile iliyozoeleka na kupata sifa lukuki kabisa lakin sasa ishapoa iko ya kawaida saana

Wakongwe weng wanakuja kwa manati kwa kunyatanyata na wakitoa mada wanatoa mada zinazobase upande mmoja kwahyo weng hawakoment

N hayo tu mkuuu
 
Duuh! Mdogo wangu umewaza nilichokuwa nakiwaza mie.

Mie sionagi kama zina faida sababu kuna nyuzi unakuta zina page kibao na likes ila ukiangalia vilivyoandikwa vya maana havizidi 20.

Apunguze presha maisha ndio haya haya na ujumbe kama kufika unafika tu hata pasi wachangiaji na likes nyingi.
Kweli dada, hakuna haja ya kulalamika wakati hazina faida yoyote. Just be happy
 
Back
Top Bottom