ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kuna Viongozi wa Simba wanamsumbua Simon Msuva, huku muda mwingi wa mapumziko anapotoka mazoezi wakimpigia simu na kumdadisi awaambie baadhi ya mambo yanayowahusu wydad, tukumbuke kuwa Msuva alicheza wydad kwa kipindi kirefu na anawajua nje ndani, pia anajua mbinu zao chafu na safi ndani na nje ya uwanja.
Pia tukumbuke Msuva alilipwa zaidi ya bilioni moja na wydad kwasababu ya kukiuka mambo ya kimkataba.
Niwashauri simba waache kusumbua kijana wa watu, wawekeze akili yao na nguvu yao katika mbinu na mazoezi na pia kujenga tactic game plan yao, mambo ya kumsumbua Msuva hayatawasaidia hata kidogo, jengeni saikolojia zenu, mtayarisheni kipa wenu wa mchongo bwana Ally Salim.
Nawapa Simba uwezekano wa asilimia 2% kati ya 100 ya kufuzu hatua ya nusu fainali, na Yanga nawapa asilimia 50% kati ya 100 ya kufuzu shirikisho nusu fainali, kombe ambalo hata hao Simba the giants hawajwahi kufuzu.