Kuna balozi huwa "zinaajiri" waandishi wa habari ili ya kuwapa taarifa za mambo yanayohusu nchi zao katika vyombo vya habari, hii pia ni espionage

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo.

Ila sijamsema Sugu na Bongo flavor honour
 
Wewe unaweweseka tu na kujitoa ufahamu ila nikuambie tu ni Tanzania tu cheo cha ubalozi na waambata wake wanageuza ni sehemu ya kwenda kutalii na kula bata tu.

Leo hii ukiangalia tangible outcomes walizotoa ni chache na za kuhesabu.

Nchi zingine ziko serious kwenye ujasusi wale mabalozi au waambata wao ni wanausalama na ni maafisa wa idara za usalama.

Ndio maana hata DG wa TISS Iddi Siwa alikuwa balozi hapo Rwanda.

Ila kwa Tanzania ubalozi inaonekana ni turufu ya shukrani kwa wazee wa CCM ila wenzetu wako macho kukodolea fursa mbalimbali wanapokuwa ng'ambo.
 
japo polepole anajitahidi kwa kiwango flani ila the rest ni hovyo sana
 
Kazi ya balozi ni espionage.unanyakua mazuri unapeleka nyumbani.Lakini Kwa kuwa Tanzania balozi anatokana na kuwa alikuwa hawala wa mtu fulani huendeleza umbeya ndiyo maana balozi nyingi za Tz hazina tija.
 
Hii kitambo mbona inajulikana. Hata kamarada p. Mayalla et al wanalijua hili.
 
Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo.

Ila sijamsema Sugu na Bongo flavor honour
Mawazo yako mufilisi
 
Sii kweli!,balozi zote duniani zikiwemo balozi za Tanzania,zina ajira za aina mbili,
1。 Wanabalozi, the diplomats,hawa ni maofisa wenye hadhi ya ubalozi,ndio wenye kinga za kibalozi,diplomatic immunity。
2。Local staff。hawa ni watumishi wa ngazi za kiutawala ambao hawana hadhi ya ubalozi, wakiwemo wenza wa wanabalozi。

Wale diplomats,nchi husika inatuma watu wake wowote the best kwenye nchi hiyo wakiwemo wale 'jamaa zetu' ili wapate wanachokitaka。

lakini hawa local staff ni watu wa nchi husika, the locals kufanya kazi ndogo ndogo za ofisi,udereva, uhudumu,utawala, accounts na habari, ambazo zitafanyika kwa ufanisi zaidi ukiwatumia the locals kuliko ungewatumia the diplomats。

hawa locals wanaoajiriwa ubalozini sio wasaliti,ni wazalendo na wengine ndio kama vile!。
P
 
Wewe kwenye ubalozi wa UK ulikuwa 'kama vile'
 
Mkuu, kwema?
 
Paskali umesahau kuwa wanaajiri pia wananchi wetu ili kuwapatia habari za kila siku za kisiasa na kiuchumi nk. Hawa wanaitwa maafisa habari (Information Officer). Huwa wanafuatilia vyombo vya habari kila siku na kutayarisha ripoti ndogo ambayo husomwa na balozi na hata kuzituma huko Ulaya. Siyo ujasusi baali inasaidia kupata intelligence report ya kila mwezi inayoandikwa na balozi
Hii inafanyika hapa Bongo katika balozi za wazungu. Lakini balozi zetu huko nje sidhani wanafanya hivyo. Kazi yao ni kuhudhuria cocktails tu na kupiga soga.
 
Kuna issue ya Poland kuiorodhesha Tanzania kuwa moja ya Terrorist country. Hawa watu wana ubalozi wao hapa Dar es salaam na wamejiingiza kwenye shughuli za kutoa misaada kwenye badhi ya mikoa kama Morogoro na Iringa wakati kule kwao sisi hatuna ubalozi na bado wako kibaguzi zaidi.

Wizara yetu ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ilidake hili na kulifanyia kazi, ikiwezekana Balozi wao hapa nchini aitwe na afafanue kwa nini wanafanya shughuli kwenye nchi wanayodai ni terrorist... 🤔
 
Wewe kwenye ubalozi wa UK ulikuwa 'kama vile'
The truth wenzetu wako very far ahead kwenye utambuzi wa wale 'kama vile', mimi niliajiriwa nikiwa New Delhi, nimefanya nao kazi kwa miaka 4, nikaomba kuacha mwenyewe, ukiwa ni 'kama vile', haupangi wewe unapangiwa!.

Mimi kosa langu ni kuzaliwa familia ya kivile kwa both parents, hivyo kuonekana na mimi ni kama vile!。

Juzi kati nilikuwa US kwa private visit,nikaamua ku interact na diaspora wetu,watu waliingia mitini!,ndipo kuna mmoja akanishika sikio,kuwa jamaa wanakuogopa wametonywa kuwa mimi ni 'wale jamaa zetu',that ”I'm a man in a mission” kuwachunguza!, niliishia ku interact na Wakenya na Waganda!。
p
 
Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo.

Ila sijamsema Sugu na Bongo flavor honour
Nikikusoma "between the lines" naona wataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja.
 
The truth wenzetu wako very far ahead kwenye utambuzi wa wale 'kama vile', mimi niliajiriwa nikiwa New Delhi, nimefanya nao kazi kwa miaka 4, nikaomba kuacha mwenyewe, ukiwa ni 'kama vile', haupangi wewe unapangiwa!.

Mimi kosa langu ni kuzaliwa familia ya kivile kwa both parents, hivyo kuonekana na mimi ni kama vile!。

Juzi kati nilikuwa US kwa private visit,nikaamua ku interact na diaspora wetu,watu waliingia mitini!,ndipo kuna mmoja akanishika sikio,kuwa jamaa wanakuogopa wametonywa kuwa mimi ni 'wale jamaa zetu',that ”I'm a man in a mission” kuwachunguza!, niliishia ku interact na Wakenya na Waganda!。
p
Wewe ni snitch, unajulikana fika.
 
Back
Top Bottom