Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Kiukweli nmeshindwa kabisa kutunza pesa, msaada wenu wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda benki, fika sehemu ya huduma kwa wateja, wahudumu wa hapo ukiwauliza kama unaweza kufungua akaunti inayoweza kudhibiti utoaji wako wa fedha watakula elimu zaidi
Yesu na Maria sioni mbereeeMeridian bet
AsanteNenda benki, fika sehemu ya huduma kwa wateja, wahudumu wa hapo ukiwauliza kama unaweza kufungua akaunti inayoweza kudhibiti utoaji wako wa fedha watakula elimu zaidi
nenda nmb wana hyo huduma ya fixed account kuanzia miezi 6 mpaka miaka 10 utachagua mwenyewe kwa kipindi gani na utapata interest piaKiukweli nmeshindwa kabisa kutunza pesa, msaada wenu wakuu.
Classmate [emoji2]Meridian bet