Kuna basi la moja kwa moja ama kuunga kutoka Dodoma hadi Mbeya Kuanzia saa tatu asubuhi?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Habari zenu waheshimiwa, Naombeni mnijuze kama kuna basi la kutoka dodoma hadi Mbeya kuanzia saa tatu asubuhi
 
Si zipo basi za Arusha/Moshi - Mbeya

Au subiri za Mwanza-Mbeya

Au ruka mpaka Iringa pale gari ni Mingi
 
Back
Top Bottom