Kuna bia za TBL zinabagua Kanda?

Kuna bia za TBL zinabagua Kanda?

Kuna bia moja ya TBL ninaipenda lakini iko kwenye ukanda fulani na haipatikani kwenye mkoa niliopo ambapo pia nina vibiashara vyangu vya kinywaji na ningependa kuiuza hapa.

Nilipomuuliza mmoja wa wahusika nikaambiwa hiyo ni ya ukanda huo tu hairuhusiwi kuuzwa nje ya ukanda!
Mkuu acha ushamba...

1. Ungeweka mambo yote bayana

2. TBL sio wajinga na sio kwamba hawapendi hela yani kibiashara wako radhi hata wasambaze Dunia nzima wauze ili wapate hela.

3. Ukiona ivyo unavyo ona ni kwamba wamefanya utafiti wa masoko kwamba ni bia gani inafanya vizuri na kwa maeneo gani na ndio maana ikawa ivyo bia kama Balimi inajulikana kabisa ni kanda ya ziwa bia kama safari na kilimanjaro iyo ni kaskazini iko ivyo kulingana na mapendeleo ya watu wa maeneo husika
 
Nashukuru. Kilichonishangaza ni huyu mhusika kuniambia hairuhusiwi. Ina maana nikipita Iringa na gari yangu nikanunua kreti kumi nikaja kuuza kwenye bar yangu Arusha au Moshi nitashitakiwa? Hope you understand the logic behind my question
 
Eagle lager wanaume wa Dar hawaiwezi hiyo!
Huwezi kuokuta Daslam!
 
Eagle inanyweka sana kwa kuwa ni bei chee 1000 tu,Ila siku hizi nao wamejanjaruka eti inauzwa 1200 ila ukikuta kuna zawadi ya sh 200 kwenye kizibo ndo wanakuuzia 1000.WAACHE HIZO MAMBO WAWEKE BEI IWE 1000 TU
Eagle lager wanaume wa Dar hawaiwezi hiyo!
Huwezi kuokuta Daslam!
 
Back
Top Bottom