Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 6,007 Reaction score 15,216 Oct 7, 2026 #1 Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele. Tumeona sukari,reli na n.k. Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.
Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele. Tumeona sukari,reli na n.k. Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.