Kuna binti anatafuta kazi ya duka la Jumla au Rejareja

Kuna binti anatafuta kazi ya duka la Jumla au Rejareja

Teacher_

Member
Joined
Jan 9, 2024
Posts
8
Reaction score
11
Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo

Sema Ajira Ndo Alikosa. Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Reja Au La Nguo

Yupo Dar Manzese

Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
 
Na mimi nina Binti wakuu
Anatafuta kazi ya Ndani au Duka.

Umri miaka 18.
Ameokoka sana
Yupo Goba Dar es salaam.
 
Niunganishe nae nimuoe kisha nimfungulie biashara awe mama mjengo na mmiliki wa duka at the same time
 
Back
Top Bottom