Kuna binti mtaani kwetu anatumia uzuri wake kusambaza UKIMWI

Mkuu ogopa tu kisukari ukimwi achana na nao ukiukwaa kula vizuri fanya mazoezi.
WAnaume tulizaliwa kwa ajili ya mateso ya duniani na tumezaliwa siku moja tutakufa siku moja.
 
Huyo hana kosa labda angekuwa anatongoza yeye na kulipia gharama yote hapo sawa.

Anachofanya hapo ni kusogeza gridi ya taifa yenye msongo mkubwa karibu na makazi ya watu, halafu hao watu bila kuitwa, kwa gharama zao wanachomeka nguzo kwenda kuji-connect na gridi ya nchi.
 

Wewe umejuaje mkuu
Mi jirani yangu aliniambia kila kitu
 
Tena anagawa kwa kutumia kile kijiko kidogo cha sukari ili kila mtu apate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…