Kuna binti mtaani kwetu anatumia uzuri wake kusambaza UKIMWI

Kuna binti mtaani kwetu anatumia uzuri wake kusambaza UKIMWI

Kitu watu wasichojua ni kamba; vitoto vya 2000 vingi vimezaliwa HIV+. Mke wa JK alikuwa anavikusanya na kuvipeleka vyuo kwa wingi sana.
Yupo mtu amefikia tib ya juu sana, ukimuoana huwezi jua ana moto.
 
Habari zenu wakuu

Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali

Tunatakiwa tuwe makini sana hasa wanaume huwa tuna moyo mgumu sana mtu anaweza akawa ana taarifa kamili kuhusiana na hilo swala lakini bado anaendelea kupambania

Nishajaribu kumuonya jamaa wangu mmoja aliishia kunitusi nakunianba ni uoga wangu..!

Tuwe makini sana wakuu
Mshana Jr huyu binti sio muuwaji?
 
Daah ila katika vitu vinauma ni pale unapata ukimwi ukiwa under 25... Inauma sana

Kulingana na takwimu; kundi hatari ni hilo hapo 18-24. Maana pia wanakuwa hawana elimu sahihi ya STD's.
 
Screenshot_20260720-231328.jpg

Inasemekana Zaidi ya seva 20000 na cloud companies 16+ zipo matatizoni, nina wasi wasi na hii ni mojawapo wa victims
 
Back
Top Bottom