mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
Kula chuma hichooo Hadi kitoe moshi mzee babaNipe namba yake mkuu.
Kula chuma hichooo Hadi kitoe moshi mzee babaNipe namba yake mkuu.
Duh aiseeNilienda hospital nikapewa arv za siku 28 nilivomaliza kurudi kupima nikawa naogopa mdawote niko google nasearsh dalili za ukimwi baada ya miezi 4 nikajilipua tu kwenda kupima nikawa fresh..yule dada nilimfata nikamwambia we unaukimwi akakataa katakata akasema asubuh tukapime nikasema poa..asubuh nampigia hapatikani kwenda kwake nakuta kufuli sjawah muonaga hadi leo🤣🤣🤣
Mtafute ule tena mzigo huo acha ushambaNilienda hospital nikapewa arv za siku 28 nilivomaliza kurudi kupima nikawa naogopa mdawote niko google nasearsh dalili za ukimwi baada ya miezi 4 nikajilipua tu kwenda kupima nikawa fresh..yule dada nilimfata nikamwambia we unaukimwi akakataa katakata akasema asubuh tukapime nikasema poa..asubuh nampigia hapatikani kwenda kwake nakuta kufuli sjawah muonaga hadi leo🤣🤣🤣
Niko fresh tuu ila nilipewa arv za siku 28 aisee ila vijana tunakoswakoswa ilikuwa 2023 nikikumbuka maneno aliyokuwa anaongea tunavojipa hanjamm nakupenda skuachi loh!! PUMBAVU ZAKE ANITHA POPOTE ALIPO😀😀 vipi mkuu umepima? 😀
Duh!!Duh aisee
😀😀😀 Daaa!! Umenichekesha mkuu.Niko fresh tuu ila nilipewa arv za siku 28 aisee ila vijana tunakoswakoswa ilikuwa 2023 nikikumbuka maneno aliyokuwa anaongea tunavojipa hanjamm nakupenda skuachi loh!! PUMBAVU ZAKE ANITHA POPOTE ALIPO
axant wap hukoSawa karibu kwetu u enjoy life na liwe too much Short
Duh aisee
KWeli aisee saivi atakuwa kaponaMtafute ule tena mzigo huo acha ushamba
Kamia kweli mpaka chumvini🥵🥵🥵😀😀😀 Daaa!! Umenichekesha mkuu.
So alikuwa anakuuwa huku anakupa maneno matamu matamu.
Na wewe ukajiona mwamba unapiga uno tu. 😀
Karibuni ni TABATA
Anitha huyu huyu mwenye matako?Niko fresh tuu ila nilipewa arv za siku 28 aisee ila vijana tunakoswakoswa ilikuwa 2023 nikikumbuka maneno aliyokuwa anaongea tunavojipa hanjamm nakupenda skuachi loh!! PUMBAVU ZAKE ANITHA POPOTE ALIPO
Anagawa kiuno alichompa mama kwa kila mwenye tamaaHabari zenu wakuu
Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali
Tunatakiwa tuwe makini sana hasa wanaume huwa tuna moyo mgumu sana mtu anaweza akawa ana taarifa kamili kuhusiana na hilo swala lakini bado anaendelea kupambania
Nishajaribu kumuonya jamaa wangu mmoja aliishia kunitusi nakunianba ni uoga wangu..!
Tuwe makini sana wakuu
Huyo huyo kiukweli dem yeyote mwenye jina la anitha nina alergy naeAnitha huyu huyu mwenye matako?
Jana nimekatiza Tabata nikaona kuna kiwanja kikali kinaitwa The Voice.Karibuni ni TABATA
Upate somo hapo uzembe haufai.Kamia kweli mpaka chumvini🥵🥵🥵
Bc hii mada haina umuhimu, ungekaa nayo mwnyw.Haiwezekan mkuu 😂