Msuguaji
Senior Member
- Jul 6, 2026
- 123
- 253
Sasa si uwaambie kwa mdomo!, hao jamaa wa mtaani kwako wako humu?Habari zenu wakuu
Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali
Tunatakiwa tuwe makini sana hasa wanaume huwa tuna moyo mgumu sana mtu anaweza akawa ana taarifa kamili kuhusiana na hilo swala lakini bado anaendelea kupambania
Nishajaribu kumuonya jamaa wangu mmoja aliishia kunitusi nakunianba ni uoga wangu..!
Tuwe makini sana wakuu
Mambo yanayomuhusu juma unayaleta kwa paroko wakati imamu unaishi nae mtaa mmoja!