Kuna binti mtaani kwetu anatumia uzuri wake kusambaza UKIMWI

Kuna dem nilitoka nae nikapita peku asubuh naamka nivae sendo moja ikawa imeingia uvunguni kwa kitanda ile kuinama nichukue aisee uso kwa uso na kikopo cha punje aisee hakuna siku nilioga mara nyingi kama ile nikanunua spirit nilijipaka wiki nzima eti naua vidudu🤣🤣🤣
Duh pole sana mkuu.. ko ikawaje
 
Habari zenu wakuu

Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali

Tunatakiwa tuwe makini sana hasa wanaume huwa tuna moyo mgumu sana mtu anaweza akawa ana taarifa kamili kuhusiana na hilo swala lakini bado anaendelea kupambania

Nishajaribu kumuonya jamaa wangu mmoja aliishia kunitusi nakunianba ni uoga wangu..!

Tuwe makini sana wakuu

Ni wapi huko mbona husemi tujue na sifa za demu ?anakaa na nani
 
Kuna dem nilitoka nae nikapita peku asubuh naamka nivae sendo moja ikawa imeingia uvunguni kwa kitanda ile kuinama nichukue aisee uso kwa uso na kikopo cha punje aisee hakuna siku nilioga mara nyingi kama ile nikanunua spirit nilijipaka wiki nzima eti naua vidudu🤣🤣🤣
šŸ˜€šŸ˜€ vipi mkuu umepima? šŸ˜€
 
Habari zenu wakuu

Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali

Tunatakiwa tuwe makini sana hasa wanaume huwa tuna moyo mgumu sana mtu anaweza akawa ana taarifa kamili kuhusiana na hilo swala lakini bado anaendelea kupambania

Nishajaribu kumuonya jamaa wangu mmoja aliishia kunitusi nakunianba ni uoga wangu..!

Tuwe makini sana wakuu
Usimsingizie jamaa yako. Huyo aliyepewa boko ni wewe
 
Duh pole sana mkuu.. ko ikawaje
Nilienda hospital nikapewa arv za siku 28 nilivomaliza kurudi kupima nikawa naogopa mdawote niko google nasearsh dalili za ukimwi baada ya miezi 4 nikajilipua tu kwenda kupima nikawa fresh..yule dada nilimfata nikamwambia we unaukimwi akakataa katakata akasema asubuh tukapime nikasema poa..asubuh nampigia hapatikani kwenda kwake nakuta kufuli sjawah muonaga hadi leo🤣🤣🤣
 
Habari zenu wakuu

Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali

Tunatakiwa tuwe makini sana hasa wanaume huwa tuna moyo mgumu sana mtu anaweza akawa ana taarifa kamili kuhusiana na hilo swala lakini bado anaendelea kupambania

Nishajaribu kumuonya jamaa wangu mmoja aliishia kunitusi nakunianba ni uoga wangu..!

Tuwe makini sana wakuu
Tulia wewe acha kiherehere
Unataka miradi ya ukimwi iishe watu wakale wapi
Acha asambaze kwan amebaka si mnaenda wenyewe
Kula chuma hichooo Hadi kitoe moshi
Mavi yenu
 
Wwe zubaa hujui kesho yako shangaa ajari tunaku fukika na wenge ngoma unawaacha enjoy life is too short mr
 
Back
Top Bottom