Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
Wakuu natumai nyote hamjambo.
Kwanza kabisa nipende kusema jukwaa hili naliona kama familia, kiukweli najihsi huru kuweka my concerns hapa kuliko kuzungumza na mtu, ndio sababu nalileta hili hapa,.
Wakuu recently nimekuwa na strong feelings of love to a girl I meet on a daily basis, sasa tatizo sioni kama we can make a future together na sikutaka kufanya hit and run to this particular girl.
Pia my conscience tells me not to pursue her, despite all this bado ninampenda. Kumkwepa nisimuone ni ngumu cos napeleka huduma ya kibiashara(delivery service) kwao kila siku.
Nimewaza nisitishe huduma ya kibiashara kwao wao ni wateja wangu labda kwa muda nisimuone lakini naona huu si uamuz mzuri kupoteza mapato kisa mapenz hapana.
Wakuu I feel stuck, jana usiku sijalala coz of this. Ushaur wenu utakuwa greatly appreciated.
N.b: I dont simply want to sleep with the girl, i have a deep longing for her.