Kuna binti nampenda ila sioni future naye, ila pia sitaki kufanya 'hit-and-run'. Kukwepa kumuona siwezi. Nifanye nini?

Kuna binti nampenda ila sioni future naye, ila pia sitaki kufanya 'hit-and-run'. Kukwepa kumuona siwezi. Nifanye nini?

CONTINUED...

Nimewaza nisitishe huduma kwao labda kwa muda nisimuone lakini naona huu si uamuz mzuri...

Wakuu I feel stuck, jana usiku sijalala coz of this..
Ushaur wenu utakuwa greatly appreciated...

N.b: I dont simply want to sleep with the girl, i have a deep longing for her.... .
Hapa ndo uliposema....kwani huduma hizi ni huduma gani kwann usiwape wazaz wakoi...
Huna lolote
 
Hebu nikuulize swali, nini kinafanya unaona huwezi fanya future nae?
 
Hebu nikuulize swali, nini kinafanya unaona huwezi fanya future nae?
Mkuu nadhani n mtazamo wangu from what i know kumuhusu yeye n graduate na anangoja kazi, yupo anatafuta... kingne mm n mtu wa mtaani japo kazi ya kukidh mahtaj yangu ninayo...

Lengo la uzi ni kuwa nifanye nn nimtoe akilini mwangu...
 
Hisia na akili ni contrasting things. Mara nyingi hisia zikishinda akili matokeo yake sio mazuri. Wews unaendeshwa na mihemko tu usipoifanya akili yako ifanye kazi ndio hivyo tena.

Emotions zisi-override logical common sense.
Mpambano huu huwa ni mkali!

downloadfile-54.jpg
 
Wakuu natumai nyote hamjambo...

Kwanza kabisa nipende kusema jukwaa hili naliona kama familia, kiukweli najihsi huru kuweka my concerns hapa kuliko kuzungumza na mtu, ndio sababu nalileta hili hapa,.

Wakuu recently nimekuwa na strong feelings of love to a girl I meet on a daily basis, sasa tatizo sioni kama we can make a future together na sikutaka kufanya hit and run to this particular girl.. Pia my conscience tells me not to pursue her, despite all this bado ninampenda. Kumkwepa nisimuone ni ngumu cos napeleka huduma kwao kila siku.
Upo kama mie....kuna binti nampa dishaga bodaboda kila leo namtamani kinoma binti mstaarabu ila dah ndio hivyo mie bodaboda yeye mtoto wa benki sasa sijui nifanyaje...nilishampigia nyeto mpaka nimechoka
 
Sio kweli

Sasa mkuu unanibishia.! af kwenye uzi nimesema sijachukua hatua yoyote...

kihususa nilitaka nishauriwe nifanye nin kumtoa akilini? sijamtongoza bado hata namba yake ya simu sina.
 
Back
Top Bottom