Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Pres hicho kialama cha share kwenye Uzi husika...halafu u.copy pale palipoandikwa www.jamiiforum...Nielekeze kuleta uzi kwenye uzi mwingn bhn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pres hicho kialama cha share kwenye Uzi husika...halafu u.copy pale palipoandikwa www.jamiiforum...Nielekeze kuleta uzi kwenye uzi mwingn bhn
Kwani ana mtu?Upo kama mie....kuna binti nampa dishaga bodaboda kila leo namtamani kinoma binti mstaarabu ila dah ndio hivyo mie bodaboda yeye mtoto wa benki sasa sijui nifanyaje...nilishampigia nyeto mpaka nimechoka
Hatar sana mkuu, mm sijalala usiku uliopita.Upo kama mie....kuna binti nampa dishaga bodaboda kila leo namtamani kinoma binti mstaarabu ila dah ndio hivyo mie bodaboda yeye mtoto wa benki sasa sijui nifanyaje...nilishampigia nyeto mpaka nimechoka
Kuna mtoto mmoja hivi miaka ya nyuma kidogo nilitokeaga kumuelewa hivo hivo alikujaga dukani kwangu linings. Mahitaj weeeh sasa si nikarudi home nikawa nimemweka akilini daah aiseey hilo ndo kosa nililofanya kwa kweli nilijikuta namuwaza yeye tu hata kazini akipita moyo ulikuwa unashtuka dadekii utadhani nimesikia bomu ya nyukliaa nikawa nawasikia majirani zangu pale dukan wanamsifia "hee leo umependeza" basi mm ndo nazidi kuchanganyikiwa nilikuja kuacha hisia zangu baada ya kumuona yupo na mbabe mmoja hivi wa gym sanaa aisee hisia zilikata paap....... 😂😂😂😂Sasa mkuu unanibishia.! af kwenye uzi nimesema sijachukua hatua yoyote...
kihususa nilitaka nishauriwe nifanye nin kumtoa akilini? sijamtongoza bado hata namba yake ya simu sina.
Napitia wakat kama huo mkuu..Kuna mtoto mmoja hivi miaka ya nyuma kidogo nilitokeaga kumuelewa hivo hivo alikujaga dukani kwangu linings. Mahitaj weeeh sasa si nikarudi home nikawa nimemweka akilini daah aiseey hilo ndo kosa nililofanya kwa kweli nilijikuta namuwaza yeye tu hata kazini akipita moyo ulikuwa unashtuka dadekii utadhani nimesikia bomu ya nyukliaa nikawa nawasikia majirani zangu pale dukan wanamsifia "hee leo umependeza" basi mm ndo nazidi kuchanganyikiwa nilikuja kuacha hisia zangu baada ya kumuona yupo na mbabe mmoja hivi wa gym sanaa aisee hisia zilikata paap.......
Tafuta kijana awe anapeleka Huduma apo kwaooNapitia wakat kama huo mkuu..
My circumstances mkuu... especially finances.. kingne we are of different classes yey n graduate mm n street guy haya niliyajua from a third party source...Nini kinakufanya uone kwamba hamuwezi kumake future together??
Wakuu hapa kwenye huduma i meant delivery services biashara... sio hzo huduma some of you thought of.. sorry nimeeleka vibaya.CONTINUED...
Nimewaza nisitishe huduma kwao labda kwa muda nisimuone lakini naona huu si uamuz mzuri...
Wakuu I feel stuck, jana usiku sijalala coz of this..
Ushaur wenu utakuwa greatly appreciated...
N.b: I dont simply want to sleep with the girl, i have a deep longing for her.... .
Mie kila leo nanyetuka tuu...demu mzuri alafu mpaka sasa kwa u-fbi wangu naona hana mtu. Shida sasa udomo zege alafu ndalama za manatiHatar sana mkuu, mm sijalala usiku uliopita.
Ume catch feelings , compose yourself and move on .Wakuu natumai nyote hamjambo...
Kwanza kabisa nipende kusema jukwaa hili naliona kama familia, kiukweli najihsi huru kuweka my concerns hapa kuliko kuzungumza na mtu, ndio sababu nalileta hili hapa,.
Wakuu recently nimekuwa na strong feelings of love to a girl I meet on a daily basis, sasa tatizo sioni kama we can make a future together na sikutaka kufanya hit and run to this particular girl.. Pia my conscience tells me not to pursue her, despite all this bado ninampenda. Kumkwepa nisimuone ni ngumu cos napeleka huduma kwao kila siku.
Hamna mutu ila shida udomo zege na lack of capital/ndalama. Maana wikend nampelekeaga pale nashera sasa mie hela ya pizza na burger naitoa wapi nilishajizoelea zangu ugali mandodndoKwani ana mtu?
Atakuchapa fimbo ukimfungukiaa?
We mwambie tu mkuu unaweza okota dodo hilo kwny mbuyu😂😂
Eti nini??? ephen_