Kuna binti nilimtamani nikamtongoza kimafumbo lakini hiki ndo kilichotokea!

Kuna binti nilimtamani nikamtongoza kimafumbo lakini hiki ndo kilichotokea!

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Huyu binti nikimpigia, sio mara zote anapokea lakini akipokea anaongea kawaida na anajikuta ananiheshimu hadi kwa vitendo

Nikichokishuhudia leo:

Leo nimemshuhudia akiwa barabarani anaongea kwa simu, lakini body language yake ndio iliyonitanya niwaletee mrejesho huu.

Japo alikua amebeba mzigo wenye uzito mkono mmoja, alitumia mkono mwingine kuongea na simu muda mwingine akaibana simu kwa bega ilimradi tu abadilishe simu iende kwenye mkono mwingine na mzigo kwenye mkono mwingine.

Nilichokihisi;

Nilihisi kwamba huyu binti alikua anaongea na mtu anaemuelewa sana hakutaka kukatiza maongezi yao kiasi cha kuji sacrifice namna hiyo


Kinachoniumiza:

Kinachoniumiza, huyu binti ananizoea sana kwa mfumo wa kaka ili kum solvia vitu vidogo vidogo ( vitu x ) vitu vidogo vidogo ambavyo havihitaji hela

Kinachonishangaza;

Kinachonishangaza ni kwamba mwanzo binti huyu alikua ananichangamkia kupita kiasi, kupita kawaida, hadi nikapata wazo la kuchukua namba yake na alinipa.

Pendekezo:

Pendekezo langu kwenu, naomba kushauri kutokana na hali hii na namna bora ya ku react.

Shukrani

shukrani zangu ziende kwa wote waliosoma kisa hiki na shukrani za dhati ziende kwa wale wanaotoa ushauri wa kujenga na si kubomoa.
 
Huyu binti nikimpigia, sio mara zote anapokea lakini akipokea anaongea kawaida na anajikuta ananiheshimu hadi kwa vitendo

Nikichokishuhudia leo:

Leo nimemshuhudia akiwa barabarani anaongea kwa simu, lakini body language yake ndio iliyonitanya niwaletee mrejesho huu.

Japo alikua amebeba mzigo wenye uzito mkono mmoja, alitumia mkono mwingine kuongea na simu muda mwingine akaibana simu kwa bega ilimradi tu abadilishe simu iende kwenye mkono mwingine na mzigo kwenye mkono mwingine.

Nilichokihisi;

nilihisi kwamba huyu binti alikua anaongea na mtu anaemuelewa sana hakutaka kukatiza maongezi yao kiasi cha kuji sacrifice namna hiyo


Kinachoniumiza:

kinachoniumiza, huyu binti ananizoea sana kwa mfumo wa kaka ili kum solvia vitu vidogo vidogo ( vitu x ) vitu vidogo vidogo ambavyo havihitaji hela

kinachonishangaza;

kinachonishangaza ni kwamba mwanzo binti huyu alikua ananichangamkia kupita kiasi, kupita kawaida, hadi nikapata wazo la kuchukua namba yake na alinipa.

pendekezo:

pendekezo langu kwenu, naomba kushauri kutokana na hali hii na namna bora ya ku react.

shukrani

shukrani zangu ziende kwa wote waliosoma kisa hiki na shukrani za dhati ziende kwa wale wanaotoa ushauri wa kujenga na si kubomoa.
20251118_075441.jpg
 
Back
Top Bottom