Kuna binti nilimtamani nikamtongoza kimafumbo lakini hiki ndo kilichotokea!

Kuna binti nilimtamani nikamtongoza kimafumbo lakini hiki ndo kilichotokea!

mkuu .. Huenda ww ni miongoni mwa watu wenye IQ zakawaida . . . nikurahisishie tu hali yako kimapenz ni sawa na hali yake .. c rahisi kunielewa maana yangu ila na maanisha hata ww kunamda unaweza ukawajali watu wako .. kila binadam ana penda kupendwa .. kwahiyo alimjali anae ongea nae kwasababu hiyo .. ni rahisi mtu kumgombeza mtu wake wa karibu kisa amemwazimisha kitu flan .. ila mtu huyo huyo akiazimwa yeye nayo roho ya kumkatalia mwazimaj hua hana .. ndo sawa na ww sasa.
 
kuna kitu cha muhimu nimepata hapa
 
Natamani hii comment yangu ingekaa juu kule ili uione kirahisi, ila kifupi ww ni mpuuzi mwenye inferiority complex kunwa sana. To hell
daah inawezekana kabisa mkuu lakini ni kwasababu sijaelewa ni kwasababu gani, ila mademunwengi hunipenda sana hadi kutaka kujinyonga japo wengi baadae huendeelea na mambo mengine
 
Huyo anakuona kama baba ake, achana nae.

Kwanza mwanamke hapendi heshima za hivyo.

Ukitaka mwanamke akuheshimu na akugande basi usimuheshimu. Mpuuzie, ongea nae kijinga jinga, usimpe muda wala pesa, nakwambia utamla mpaka kinyeO.
haupo sahihi utakacho kitengeneza hapo ni dem mwenye michepuko si vinginevyo hiyo ni mbinu ya wajinga wanao kamatika nao ni wajiñga pia.
 
Wana hapo juu nikajua mnachambua mpira kumbe mapenzi aiseeee hapo kila mtu hajawai kosea kwenye hy seta hata asiejua anajua
 
Back
Top Bottom