We jamaa unataka kumuua mleta mada. Mtu anakuambia hana ajira na biashara haziendi we unamshauri akakope mke kweli?😂😂😂 Halafu atakuja kuishi vipi na huyo mke sasa?Bora hata wewe una pa kuanzia mkuu, nenda hivo hivo ukawaeleze tu kuwa huna kila kitu....wakukopeshe mke ukipata mahari utapeleka
Man ee we unadhani kama mambo hayamwendei sawia atafanyaje... bora aende akawambie kuwa hana ila ataleta akipata, alafu wao ndo wataamua.We jamaa unataka kumuua mleta mada. Mtu anakuambia hana ajira na biashara haziendi we unamshauri akakope mke kweli?[emoji23][emoji23][emoji23] Halafu atakuja kuishi vipi na huyo mke sasa?
Je nifanye nini kuepuka hiki kikombe mpaka mambo yangu yatakapokaa sawa maana mpka sasa sina ajira na biashara haziendi kabisa.
Acha apambane na hali yake.Akili itakomaaje bila kupitia shida.We jamaa unataka kumuua mleta mada. Mtu anakuambia hana ajira na biashara haziendi we unamshauri akakope mke kweli?[emoji23][emoji23][emoji23] Halafu atakuja kuishi vipi na huyo mke sasa?
Dah! Basi jamaa kapata mke bora.We jamaa unataka kumuua mleta mada. Mtu anakuambia hana ajira na biashara haziendi we unamshauri akakope mke kweli?😂😂😂 Halafu atakuja kuishi vipi na huyo mke sasa?