Tuma watu wakatoe posa ,then watakupangia mahari then tafuta nusu ya mahari utakayopangiwa lakini kwenye mahali tafuta wataalamu wazuri wakubargain ili usipigwe, then jipange hata miezi 6,funga ndoa km church au msikitini achana na sherehe km financially hauko vzr utaheshimika sana kuliko kukaa kimya kisa mambo hayajakaa vzr km kweli mtoto umemwelewa.Huyu binti nina mwaka nipo nae katika mahusiano na moja kati ya promise niliyomuahidi nitamuoa mwaka huu mambo yangu yatakapokaa sawa Ila mpka sasa mambo magumu.