Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

Vipi tena MwanaCCM mwenzangu?
 
Hakuna ushirikina hakuna chuma ulete changaamsha ubongo huo tafuta kazi ya kufanya.
Hahah.. Kwani wasio na kazi wanagonga mlango wa nani kuomba chakula ama mahitaji.? Aliyewaumba atawajali kama wahusika wameweka flight mode. [emoji4]
 
Chief unamjua niliyemjibu alikuwa anaongelea hoja gani! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah chief acha kukurupuka nakushauri, yaani acha kweli. Hivi unajua aliyelinganisha ni yupi boss[emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheka ama unachekelea? [emoji4]
 
CCM imeshindwa kabisa jamani tuiondoe sasa wengine wafanye kazi.
 
Pumbafu unaona wanao angaika ni wasomi tu wengine uwaoni?huyo msomi ulitaka asitembeze mitumba hili hiyo kazi aifanye nani? Elimu bila hela ni kazi bule
 
Pumbafu unaona wanao angaika ni wasomi tu wengine uwaoni?huyo msomi ulitaka asitembeze mitumba hili hiyo kazi aifanye nani? Elimu bila hela ni kazi bule
Kwa kiwango chake cha elimu degree mbili iyo kaz anaifanya mtu yoyote hata ambae ajasoma.Elimu yake aijaleta impact hata yeye akutegemea kama atafanya iyo kaz sema maisha tu yamempeleka uko..
 
Wabunge wenye akili timamu ni wa kuhesabu sana. Tusitegemee mabadiriko.
 
Kula like aisee
 
Hawez kusaidia wananchi ni wao na familia zao.
Serious. Hii nchi ishaoza na watu hawana Ubunifu.
Cc: Angalia ajira za Majeshi na vigezo vyao.

Angalia vigezo ili uwe Mbunge..

Angalia michakato ya Ajira huko serikalini mpk Rais asimame aongee ndio mambo yaende.
 
Overpopulation ni tatizo kubwa linalochangia ukosefu wa ajira. Kasi ya ukuaji wa idadi ya watu inabidi kudhibitiwa ukichangia kasi ya ukuaji uchumi wetu ni ndogo.
Duuh eti overpopulation.. bila shaka wewe ni mwanasiasa ..hakuna kitu kama hicho kwa Tz , zipo nchi nyingi zenye idadi kubwa ya watu na hawana tatizo la ajira.
 
Serious. Hii nchi ishaoza na watu hawana Ubunifu.
Cc: Angalia ajira za Majeshi na vigezo vyao.

Angalia vigezo ili uwe Mbunge..

Angalia michakato ya Ajira huko serikalini mpk Rais asimame aongee ndio mambo yaende.
Tz ni changamoto.mfano ajira za jwtz kigezo umri usiozid 27 degree na master mtu kajitolea miaka 2 kakaa mtaan miaka 3 ajira zinatangazwa ana miaka 28-30 aruhusiwi kuajiriwa.Mbunge ni darasa 7 yan ni changamoto.
 
Haya mambo ukiyawaza utaumwa kichwa bure. Ni kushukuru Mungu kama Afya ipo fresh basi.
 
Hapa tunataka utekelezaji wa sera ya China ya mtoto mmoja kwa familia moja na ukizaa nje ya ndoa upigwe fine kubwa au kufungwa jela.

Tukiweza hiyo tutapunguza idadi ya watu na baadae mambo yatakaa sawa.
Hakuna kitu kama hicho Tanzania, hakuna idadi yyte kubwa ya watu na wala tatzo la ajira halitokani na idadi kubwa ya watu.

Tatizo linatoka uhaba wa uwekezaji sekta binafsi, ma kampuni, mashirika etc.
 
Hakuna kitu kama hicho Tanzania, hakuna idadi yyte kubwa ya watu na wala tatzo la ajira halitokani na idadi kubwa ya watu.

Tatizo linatoka uhaba wa uwekezaji sekta binafsi, ma kampuni, mashirika etc.
Kabisa.kwasababu muajiri mkubwa ni private sector.
 
Tz ni changamoto.mfano ajira za jwtz kigezo umri usiozid 27 degree na master mtu kajitolea miaka 2 kakaa mtaan miaka 3 ajira zinatangazwa ana miaka 28-30 aruhusiwi kuajiriwa.Mbunge ni darasa 7 yan ni changamoto.
Haha ... very funny
 
Stage inayofuata ni vijana kuikimbia nchi yao na kwenda kutafuta fursa ughaibuni...

Kila mwaka vijana wanahitimu na kumwagwa uraini,

serikali imeshindwa kutengeneza mgumo wa ajira rasmi, wala ku support vijana walioamuwa kujiajiri kwenye ajira zisizo rasmi..
 
Duuh eti overpopulation.. bila shaka wewe ni mwanasiasa ..hakuna kitu kama hicho kwa Tz , zipo nchi nyingi zenye idadi kubwa ya watu na hawana tatizo la ajira.
ndivyo munavyojiaminisha lakini kiwango cha ongezeko wa watu kwa Tz ni kikubwa sana ukilinganisha na kiwango cha maendeleo ya utoaji wa huduma (elimu, afya na hata hizo ajira).
 
ndivyo munavyojiaminisha lakini kiwango cha ongezeko wa watu kwa Tz ni kikubwa sana ukilinganisha na kiwango cha maendeleo ya utoaji wa huduma (elimu, afya na hata hizo ajira).
Nchi ili kukuwa kiuchumi inahitaji nguvu kazi nguvu kazi ni pamoja ni idadi kubwa ya watu..

Tanzania haihitaji kuwa na idadi ndogo ya watu la hasha , tunahitaji sekta binafsi na wawekezaji wenye makampuni kila kona ya mkoa , na serikali iangalia njia mpya za kutengeneza ajira ili ipate kodi kutoka kwa awafanya kazi

Hata hao china uliowatolea mfano na sera zao hizo za miaka hiyo , imapct yake wamekuja kuiona kipindi kile cha covid... yani china ina wazee wengi kuliko vijana na vijana nao hawazaliani..

Mfano mwingine fikiria nchi kama canada .. raia ni wachache sana .. kiasi kwamba nchi inategemea immigrants kama nguvu kazi yake.. ni kwasababu hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…