Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

Yule mjinga hafai maana zamani utawala wa kikwete degrees Ilikuwa ni kitu Cha thamani Sana . Huyu SHETANI kaharibu mifumo Kuanzia sectors binafsi na Serikali.
Tunasema marehemu hasemwi vibaya ila yule mjinga alifanya hata elimu iwe kitu cha kijinga kwakukumbatia wajinga na kuwapa vyeo kama kina Makonda, Sabaya na wengineo. Alifikia hatua ya kuwadharau maprofesa hadharani na kuwaita wapumbavu. Mtu kama huyo unadhani kichwani zilikuwepo? Ila Mungu fundi sana
 
Mawazo mgando haya au wewe huna watoto wanaosoma shule za serikali? Nenda kule uone kulivyo na uhaba wa walimu wakati huo huo wasomi kibao wanazurura mitaani.
Mkuu hujanielewa labda kwasababu ya lugha, nilimaanisha mfumo wetu wa elimu hauendani na hili halisi ya sasa, unatengeneza wasaka ajira sio wategeneza ajira
 
Hapa nchini hatuheshimu kabisa taaluma.

Wenye kula keki ni wanasiasa tu.

Kila siku yanaibuka misamiati mipya kujustify kula kwao.

Sasa hivi kuna kitu kinaitwa maridhiano huu ndio msamiati mpya kwa sasa.

Kama taaluma zingeheshimika usingekuta watu wanasoma bila kujua kama ataweza kujiajiri au kuajiriwa.

Ila hapa Tanzania unakuta mpaka mwenye PHD hana uhakika na maisha.
Mkuu Phd nyingi hasa za wanasiasa na viongozi wa dini ni feki za kununua kutoka kwa matapeli-Diploma mills. Ukiwa na Phd Og huwezi ukateseka.

Na huwezi ukasoma kwa mfano Political Science and Public Administration kisha ukawa muoga wa kuingia kwenye siasa, hapo lazima uteseke.
 
Tunasema marehemu hasemwi vibaya ila yule mjinga alifanya hata elimu iwe kitu cha kijinga kwakukumbatia wajinga na kuwapa vyeo kama kina Makonda, Sabaya na wengineo. Alifikia hatua ya kuwadharau maprofesa hadharani na kwaita wapumbavu. Mtu kama huyo unadhani kichwani zilikuwepo? Ila Mungu fundi sana
Lengo lake lilikuwa kuwakumbatia wajinga ambao ndo wengi hata mtaani wakifahamu una degree Then huna Maisha Basi wanafurahia Sana sema aongezewe Moto Magufuli
 
Viongozi vilaza Kama Mbowe waliopata zero form six ndo wanajinasibu wataleta maendeleo na Magufuli alikuwa na PhD fake ya kutoka Udsm hi nchi vilaza ndo wanapata political mileage and nothing else.
 
Overpopulation ni tatizo kubwa linalochangia ukosefu wa ajira. Kasi ya ukuaji wa idadi ya watu inabidi kudhibitiwa ukichangia kasi ya ukuaji uchumi wetu ni ndogo.
Unabuni miradi mbalimbali ya huduma za jamii huku huna watu wa kuisimamia na kuiratibu unataka tukuiteje?
 
Lengo lake lilikuwa kuwakumbatia wajinga ambao ndo wengi hata mtaani wakifahamu una degree Then huna Maisha Basi wanafurahia Sana sema aongezewe Moto Magufuli
Ndomaana hata wajinga vijijini walimuona wa maaana lakini baada ya kuona miamala inapungua kwenda huko akili zikawakaa. Jamaa alifika mahali akaona kikubwa ni kubana wenye akili tu. Akatunga sheria za kubana uhuru wa habari, akaficha takwimu za serikali kwa sheria za kipuuzi akisaidia na yule msimbe Jenista Mhagama, akashirikiana na Nape na Ndugai kuua uhuru wa Bunge la wananchi na kutudanganya ni matajiri, akajificha Chato na kupayuka hakuna corona huku watu wanakufa, akabana vijana wasipaze sauti kwa kutunga sheria za kudhibiti mitandao na isitoshe akaizima kabisa. Jamaa ilifika mahali akaamua kununua ndege kama ananunua toyo kwa Mo wa simba ila huyu jamaa alikuwa kiboko. Ila yote kwa yote Mungu fundi sana.
 
Overpopulation ni tatizo kubwa linalochangia ukosefu wa ajira. Kasi ya ukuaji wa idadi ya watu inabidi kudhibitiwa ukichangia kasi ya ukuaji uchumi wetu ni ndogo.
Magufuli ndiye alisimama hadharani akadanganya wajinga Wafyatue watoto bila kujua mzigo ni wa familia huku yeye akila urojo Ikulu. Hovyo sana
 
Huwa nilitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hisusani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama.imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.

Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioani hajauza hata miatano na
Hali ni mbaya Siyo tu kwawaliomaliza vyuo hata kwa ambao hawajabahatika kwenda huko vyuoni, tunatakiwa tuwe na jamii ambayo inaweza kuhoji na kusikilizwa, kupanga na kutatua matatizo yake.
 
Hakuna mkakati wowote wa serikali wa kushughurika na hii unemployment rate kubwa ambayo aimeibuka ghafla as if tayari tuko kwenye full employment.
Hapa tunataka utekelezaji wa sera ya China ya mtoto mmoja kwa familia moja na ukizaa nje ya ndoa upigwe fine kubwa au kufungwa jela.

Tukiweza hiyo tutapunguza idadi ya watu na baadae mambo yatakaa sawa.
 
Miradi gani hiyo ya jamii iliyobuniwa nchi hii ikakosa watu wa kuisamamia ??
Kuna mradi wa serikali unaoweza kuajiri hata watu elfu kumi?? Kila mwaka malaki ya vijana wanaingia kutafuta ajira ila wanachaoambulia wachache tu ni kuendesha bodaboda, kuuza pipi, maji na karanga barabarani na stendi, kutemba laini, umachinga na ajira nyingine za ajabu ajabu kama hizo.

Msidanganye watu kwamba nchi hii ina upungufu wa watu wa kutoa nguvu kazi.

Overpopulation is real.
Unabuni miradi mbalimbali ya huduma za jamii huku huna watu wa kuisimamia na kuiratibu unataka tukuiteje?
 
Inasikitisha sana.
Magufuli ndiye alisimama hadharani akadanganya wajinga Wafyatue watoto bila kujua mzigo ni wa familia huku yeye akila urojo Ikulu. Hovyo sana
 
Miradi gani hiyo ya jamii iliyobuniwa nchi hii ikakosa watu wa kuisamamia ??
Kuna mradi wa serikali unaoweza kuajiri hata watu elfu kumi?? Kila mwaka malaki ya vijana wanaingia kutafuta ajira ila wanachaoambulia wachache tu ni kuendesha bodaboda, kuuza pipi, maji na karanga barabarani na stendi, kutemba laini, umachinga na ajira nyingine za ajabu ajabu kama hizo.

Msidanganye watu kwamba nchi hii ina upungufu wa watu wa kutoa nguvu kazi.

Overpopulation is real.
Shule za Kata zina walimu wa kutosha?
 
Back
Top Bottom