Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,966
- 6,593
Tunasema marehemu hasemwi vibaya ila yule mjinga alifanya hata elimu iwe kitu cha kijinga kwakukumbatia wajinga na kuwapa vyeo kama kina Makonda, Sabaya na wengineo. Alifikia hatua ya kuwadharau maprofesa hadharani na kuwaita wapumbavu. Mtu kama huyo unadhani kichwani zilikuwepo? Ila Mungu fundi sanaYule mjinga hafai maana zamani utawala wa kikwete degrees Ilikuwa ni kitu Cha thamani Sana . Huyu SHETANI kaharibu mifumo Kuanzia sectors binafsi na Serikali.