Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Lema na ajira gani vile?Ndiyo
Hana Serikali ndio maana hana ajira?Hana serikali Mpaka Sasa na hakusanyi Kodi. Ccm inakusanya Kodi lakini imefaeli hivyo kwa sababu hawana akili basi wapumzishwe
Hawezi kuwatengenezea ajira vijana kwa sababu hakusanyi Kodi Wala Hana serikali. Sasa kama ccm imefeli tuendelee kuteseka tu wakati Kuna alternative. We unaonaje, tuendelee kufa kwa njaa na kuendesha boda boda? Ccm inasema inazalidha ajira za bodaboda kila sikuHana Serikali ndio maana hana ajira?
Kumbe hukuelea swali maskini wa Mungu! Nilikuuliza, Lema ana ajira gani! Yaani anafanya kazi gani? Simple!Hawezi kuwatengenezea ajira vijana kwa sababu hakusanyi Kodi Wala Hana serikali. Sasa kama ccm imefeli tuendelee kuteseka tu wakati Kuna alternative. We unaonaje, tuendelee kufa kwa njaa na kuendesha boda boda? Ccm inasema inazalidha ajira za bodaboda kila siku
Uwanasiasa ni ajira?Mwanasiasa
Kwahiyo Lema analipwa kwakuwa mwanasiasa kama anavyolipwa Rais na Mawaziri?We unaonaje? Kwani mawaziri au rais mwenyewe Hana ajira? Vyeo vya rais au mawaziri ni vya kisiasa hivyo siasa ni ajira.
Wanazalisha ajira za bodaboda kwani hizo pikipiki nizakwao?Hawezi kuwatengenezea ajira vijana kwa sababu hakusanyi Kodi Wala Hana serikali. Sasa kama ccm imefeli tuendelee kuteseka tu wakati Kuna alternative. We unaonaje, tuendelee kufa kwa njaa na kuendesha boda boda? Ccm inasema inazalidha ajira za bodaboda kila siku
Kwahiyo Chadema inawalipa mshahara wajumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu kwa kwakuwa tu wajumbe una habari kwa kufanya hivyo, kitakuwa kimevunja rekodi ya Dunia ya vyama vyote? Kwani kitakuwa ndio chama pekee kuwalipa mshahara wajumbe kitu ambacho hakifanywi na chama chochote duniani! Au Mkuu unahabatisha haya mambo huyajui?Yule ni mjumbe wa halimashauri kuu ya chadema Kanda Ile hivyo kwa Sasa kabla ya kuchukua ubunge 2025 ni mwajiliwa wa chadema na analipwa kwa kazi hiyo
Kwani chongoro na mjema wanalipwa na serikali au chamaKwahiyo Chadema inawalipa mshahara wajumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu kwa kwakuwa tu wajumbe una habari kwa kufanya hivyo, kitakuwa kimevunja rekodi ya Dunia ya vyama vyote? Kwani kitakuwa ndio chama pekee kuwalipa mshahara wajumbe kitu ambacho hakifanywi na chama chochote duniani! Au Mkuu unahabatisha haya mambo huyajui?
Dah!Kwani chongoro na mjema wanalipwa na serikali au chama
Hari ni mbaya sana mkuu,Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioni hajauza hata mia tano na anataka kula na ana familia. Nikamuonea huruma nikampa elfu tano.
Hakuna mkakati wowote wa serikali wa kushughurika na hii unemployment rate kubwa ambayo aimeibuka ghafla as if tayari tuko kwenye full employment.
Mfano shule hazina walimu wa arts, sayansi wala biashara ziko empty kabisa. Ukienda mashuleni utamkuta mwl wa physics anafundisha kuanzisha form one Hadi form six peke yake na wanafunzi ni wengi sana. Vivyohovyo kwa arts.
Hakuna sababu kwa Nini kuwe na unemployment kubwa hivyo wakati employment vacancies zipo ispokuwa tu ni poor planning na kuwachukulia vijana poa tu.
Siyo wote wanaojiuza mtaani wanapenda serikali Bado haioni tatizo liko wapi zaidi sana wanakimbizana nao tu ili kuwakamata.
Haiingii akilini mtu anasoma muhimbili five years halafu AA anakuja kuwa bodaboda au kuuza kahawa mtaani. Kuuza kahawa hakuhitaji degree wala masters.
Slowly mnatengeneza vikundi viovu bila kujijua. Mi nawaonea huruma sana vijana na badala ya Serikali kashughulikia swala hilo ndo Bado inadeal na wanasiasa sijui maridhiano asijua asali.
Jana kulikuwa na kongamano la wamachinga Dar ambapo waliwekewa mabasi ya kusombwa kutoka kila kona ya Jiji, lengo ni kutengeneza kura za 2024 na 2025.Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.