Kuna Bongo Movie moja naitafuta nimeisahau jina

Kuna Bongo Movie moja naitafuta nimeisahau jina

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka kahaba nadhani baada ya maisha kuwa magumu.

Halafu nyingine iliwahi kuonyeshwa tbc kuna watoto mama yao alikufa dingi akaoa mwanamke mwingine yule mwanamke akaanza kuwatesa watoto mpaka wakatoroka wa kike akawa changu wa kiume mwizi.
 
One man down,I repeat one man down.Team alpha do you copy?
 
Kazi ipo, ebu andika hayo maelezo google Mkuu.
Au itisha baraza la wadada wa kaz watakusaidia.
 
Unamaanisha ile ambayo Jambazi anavua viatu mlangoni au....
 
Back
Top Bottom