ila brand ya kukimbia mechi ndio inapanda!CAS wameona hamna hoja
Hamjakaa sawa FIFA wanachunguza udhamini wa GSM na TFF
Kuna brand inaenda kuharibika soon
Kumbe na nyie mwaka ule mlikimbia mechi ya derby ee? Nilidhani mlikua na hoja ya kwamba muda umesogezwa mbele kumbe mlikimbia... maana simba wana hoja yao ndo maana wamevimbaa yani wamejiandaa kila idara ndo maana wako kimyaa..na ushahidi juu ya yale yaliyotokea siku ile sasa utasemaje wamekimbia...sema tuu hao tff wanataka wayasolve kinduguila brand ya kukimbia mechi ndio
Mbumbumbu banaCAS wameona hamna hoja
Hamjakaa sawa FIFA wanachunguza udhamini wa GSM na TFF
Kuna brand inaenda kuharibika soon