Kuna changamoto Gani umekutana nazo kama ushawahi kufanya kazi kiwandani?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Screenshot_20260725_090804_Lite.jpg
 
Nilikuwa mwenge kiwanda Cha kutengeneza matank ya maji , mshahara mdogo sana aisee kazi ngumu ila kutokana na hali ngumu kipindi icho 2015 nilikubaliana na hali ila mshahara ulifanya nikimbie nilirudi tena mtaani

Changamoto ingine nilipewa ivyo kuwa warembo wa mule wengi ni wana ukimwi so niwe makini, Sasa kilichotokea sijui namba yangu walikuwa wanaipata wapi? Aisee

Nilikuwa napokea sim za wanawake wa mule kama mvua aisee ,😁
 
😂😂 Ukiona Wana Ngoma wengi ujue na alie waajiri nae anao
 
Miaka ya 2017-2019 Pepsi pale Nyerere Road kitengo Bondeni, vijana mchele mchele walikuwa wakija sikumoja tu siku ya 2 hawarudi! Kazi unapiga masaa 4 nguo zote zimeloa jasho sio mchezo! Mshahara elfu 7 kipindi hicho kwa siku na bado siku ya kupokea kuna wahuni wakiila na bado kuingia mzigoni siku 7 ilikuwa ngumu sana
 
Naskia pale na Azam buguruni pamoto sana
 
Back
Top Bottom