mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 842
- 1,549
ukiingia kule viwanda vya uzalishaji ukaona mazingira ya kazi na hali za wafanyakazi unaeza ukatoa mchozi kama una mwanao kule unarudi naye siku iyoiyo bora akae tu hom
Viwandani sio kabisaukiingia kule viwanda vya uzalishaji ukaona mazingira ya kazi na hali za wafanyakazi unaeza ukatoa mchozi kama una mwanao kule unarudi naye siku iyoiyo bora akae tu hom
YesSh 25 inamaanisha 100 viroba vinne?
Hatari sana ni zaidi ya utumwa
Naskia kule ukimaliza week wewe mwanaumeukiingia kule viwanda vya uzalishaji ukaona mazingira ya kazi na hali za wafanyakazi unaeza ukatoa mchozi kama una mwanao kule unarudi naye siku iyoiyo bora akae tu hom
Noma sanaHatari sana ni zaidi ya utumwa
ukoloni mamboleo umerudiViwandani sio kabisa
😂😂😂😂😂Hapo Buguruni kwa Bakhresa watu wameshaacha posho zao muda wa mapumziko mchana wakasepa
Azam sikuwahi kuingia ila nasikiaga wanasema pia, Pepsi nimepiga kazi ambayo unaweza kuvua tshirt kuweka kando maana jasho lake si la mchezoNaskia pale ana Azam buguruni pamoto sana
🤣🤣Azam sikuwahi kuingia ila nasikiaga wanasema pia, Pepsi nimepiga kazi ambayo unaweza kuvua tshirt kuweka kando maana jasho lake si la mchezo
😁Kuna jamaa walienda kufanya kazi kiwanda cha sukari,walitoka speed
Ukimwi ndio nyumbani kwakeHumo viwandani kuna rushwa kubwa ya ngono hasa kwa ma supervisor na vibarua wa chini, serikali imulike humu kuna uchafu wa kutisha .
Hizo sio kazi ni utumwa.Kuna jamaa walienda kufanya kazi kiwanda cha sukari,walitoka speed
Waliowah kupita huko wanasema ni zaidi ya jelaHizo sio kazi ni utumwa.