Kuna changamoto Gani umekutana nazo kama ushawahi kufanya kazi kiwandani?

Kuna wanaofanya kazi viwandani wakianzia chini na kuwa ma Supervisor mchongo sjui waliwezaje mana ile kazi ufanyie shida au kama daraja tu ila sio pahala salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…