Kuna changamoto ya kupokea Verification Codes Tanzania, nini kimetokea? Tumekuwa blocked?

Kuna changamoto ya kupokea Verification Codes Tanzania, nini kimetokea? Tumekuwa blocked?

tumia email maana sms huwa zinasumbuaga tu toka kitambo
Zinafika mboni mimi nimefanya jana na imekubari vizuri tu hio ni 2 way verification kwa simu number na kwa email unatumiwa code kwenye email una-verify then unatumiwa kwa namba simu una-verify halafu ndio unapita bila hivyo hupiti
 
Mimi pia inanisumbua sana nikahisi ni tatizo langu iwe google iwe LinkedIn tabu tupu🙌🏾
Una mbwe mbwe Linkedln kwa ma CEO nilipoteza pwsd yake nina mda sijaingia uko
 
yamenikuta na booking.com last week.
Nikajua ni mimi tu!
 
Email Yako Uki~Login Utaikuta Huko
Changamoto Baadhi Nywila Zao Hawazijui Hivyo Unapotumia Kuingia Shida
 
Back
Top Bottom