Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hiyo ni pieBila shaka ni jtumiajinwa voda
Hiyo ni pieBila shaka ni jtumiajinwa voda
Mbwembwe ya nini sasa? Omba verification utarudishwa!Una mbwe mbwe Linkedln kwa ma CEO nilipoteza pwsd yake nina mda sijaingia uko
Nimewachia nyie matajiri ukoMbwembwe ya nini sasa? Omba verification utarudishwa!
Nimezila nimersend najisemea labda itaingia ikiktaka siku zinakatika mpaka mifumo ya serikali nilikua namsajili mdg wangu ajira portal mpaka sasa sijapata verification linkInakubari ikigoma resend itafika tu
Mimi pia sikupata kwa simu walinitimia kwa mailHata mimi nilikutana na hii kitu wiki iliyopita... Yenyewe mpaka imenitaka nilipie nilikua nimeteseka vyakutosha kwenye verification code ndipo nikaja kupata
Nilikuwa nataka ileileDownload Telegram X ndio bure
Itaniletea account yangu ileile ya zamani au najisajili upya? Kwenye ile ya zamani nilikuwa nimeweka kumbukumbu zangu nyingi hukoDownload apk ya zamani na app ya proxy inaitwa deproxy nadhani, utaweza kujisajili fresh tu.
Umepataje mkuu em niweke wazi?Hata mimi nilikutana na hii kitu wiki iliyopita... Yenyewe mpaka imenitaka nilipie nilikua nimeteseka vyakutosha kwenye verification code ndipo nikaja kupata
Download Telegram X. Hii haina malipo.Mimi jana nimepakua telegram naambiwa eti nilipie 😳
Hii ni kweli, hata mimi Nimekutana na tatizo hili mwezi uliopitaMimi pia inanisumbua sana nikahisi ni tatizo langu iwe google iwe LinkedIn tabu tupu🙌🏾
Nilirudia kuomba mara kwa mara ndani ya siku 2 ndipo ikaja kukubali baada ya majaribio mengiUmepataje mkuu em niweke wazi?
mimi inaniambia haiwezi kutuma kwa sasa nimechoka sijui nifanyeje mtandao ni vodaZinafika mboni mimi nimefanya jana na imekubari vizuri tu hio ni 2 way verification kwa simu number na kwa email unatumiwa code kwenye email una-verify then unatumiwa kwa namba simu una-verify halafu ndio unapita bila hivyo hupiti