Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mbona umekuwa mbogo hivyo.Polepole sasa!Uli-generalize wana JF kwamba hawawezi kuchangia mambo mema.Unaona ni sawa kutuweka wana JF kwamba ni wajinga sana?Tafakari.Usijibu harakaharaka.Huu ni upumbavu mkubwa kutokea kwako, ungekua ni ujinga ungeelimika, hii ni mada na kila mtu anaijadili kwa hoja sio matusi, prove me wrong kwa hoja sio matusi, anyway never mind haya ni matokeo ya UPE na shule za kata, debate hoja iliyopo mbele yetu
Mbona nimeomba unihurumie ukakataa mkuu?Nihurumie.
Kushea nini labda fashion mpya za suti..ila kuhusu maendeleo ya nchi hapo sahau.Fanya kazi wewe, utapasuka kwa kijiba cha roho. Ulitaka ajifungie ndani ili iweje? Dunia ni kijiji, huwezi kuongoza nchi kwa kuchutama ndani kama mwanamwali. Acha akutane na wenzake kwa ajili ya kushare experience na kufungua fursa za uwekezaji.
Kwa serikali hii bora kujitoa akili tu..mana yanayofanyika behind the scene watanzania wange yaona hakika hao viongozi wasingeendelea kuwepo hapo...kiufupi hatna viongozi bali gege la wezi.Ni mada nzuri sana, lakini chuki dhidi ya madam president Samia Suluhu Hassan waliyonayo wachawi fulani humu imeshaanza kuharibu radha. Kama ingelikuwa mada hii inajadiliwa kwa kina, hasara na faida zake zinawekwa mezani, kwa mifano kamili isiyo na shaka, basi mada ingeliwafaa hata ndugu zetu wanaosoma.......lakini ndo hivyo tena, hapa tusubirie tu hoja za sijui kupanda basi, ushungi, kuwa na wajomba Oman, atatajwa JK hapa kama kawaida; Makamba akikosa kutajwa hapa leo basi itakuwa ameamka vizuri sana.
Kuna wakati ukiufikiria huo unaoitwa ugreat thinker, unaweza kujikuta unaisapoti mada ile iliyoanzishwa jana inayosema bora wazungu wazaane zaidi isije dunia ikabaki na wzjinga watupu.