Kuna chuki naanza kuiona inachomoza Tanzania

Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.

Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa

Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya
Weka vizuri mkuu;

Msingi wa hizi CHUKI na HASIRA ni utawala m'bovu!
 
Yaani tunakokwenda siyo kuzuri kabisa,nashukhuru Magufuri aliweza kucheza na akili za watu wanyonge ambalo ndiyo kundi kubwa kabisa akaweza kufanya chochote kama Rais
Lakini kwa kipindi hiki kuna gape kubwa sana kati ya selikali na wanyonge,au sijui tumetoka kwa Magu tunajihisi kama bado hatuthaminiwi, lakini napenda kusema kuna moshi unafuka kila mtu anataka kusema au kuonyesha kitu fulani wakati haya yote ilibidi yafanywe na Rais kama Jemedar wa inchi,ukiambatanisha na matukio ya huko nyuma ambayo mpaka leo hayana majibu kamili inatisha, tunaombeni mlioko kalibu na Rais na wanaoitakia mema Tanzania wamwambie ukweli Rais,watu wanataka majibu, Siasa za kistarabu na akomeshe haya mambo ya utekaji,siyo maendeleo peke yake hayaweze kuwaridhisha wananchi ni pamoja na Amani pia
Mkuu,
JPMAGUFULI atabaki kuwa ALAMA ya kiongozi bora aliye wahi kuwepo Tz.kisha Mz.MKAPA na babu NYERERE.
Huyu mama ni ALAMA ya kiongozi m'baya kuwepo Tz.ikifuatia awamu ya 4. Huyu mama hana mpango na hali wala hisia za watu/wananchi wake, badala yake yupo busy kupambania madaraka kwa kuwatumia waalimu kuwaandikisha watoto wetu kuwa wana ccm.
HAYA TULIYARUHUSU WENYEWE,ACHA TUVUNE TULICHO KIPANDA.
 
Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.

Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa

Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya
Mbona umechelewa sana kuiona?
 
Kwani huko Mbeya kumetokea nini ndugu..?

Je, una maana tukio la yule mwanamziki Zuchu kurushiwa mawe na chupa cha maji jukwaani ambaye badala apande aimbe nyimbo zake na kukata viuono, yeye akaanza kumpamba Chura Kiziwi au kuleta mambo mengine ya ki - CCM...?

Yes, kama ni huyo bila shaka alistahili kufanyiwa hivyo. Watu hawataki kuona wala kusikia mambo ya Chura Kiziwi aitwaye Samia Suluhu Hassan au u - CCM wowote ule...
 
Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.

Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa

Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya
Sijui unazungumzia kitu gani mahsusi mkuu 'cumbamalema', maanake umebaki kuzunguka zunguka tu bila kuwa wazi.

Ninakubaliana nawe kwa uwepo wa chuki inayojengeka kwa nguvu sana katika jamii wakati huu; kwa sababu viongozi waliopo, ambao ndio wangekuwa mstari wa mbele kuzuia hali hiyo; wao ndio wamekuwa watu wa kuirutubisha.

Kiongozi anapo kwambia "kifo ni kifo tu", wakati kifo husika kimetokea siyo kwa ajali au ugonjwa, bali kikihusishwa na vyombo vinavyo takiwa kuzuia kifo cha namna hiyo; kama huko siyo kujenga chuki ndani ya jamii, tukiiteje?

Ipo mifano mingi sasa hivi inayo onyesha chuki inatokana na matendo ya viongozi tulio nao madarakani sasa hivi.
 
Hii mbegu iliyopandwa na CCM na Serikali yake ikianza kuzaa matunda wahanga wakubwa watakuwa wanaCCM wenyewe.
Wao (CCM), wanaamini wanao polisi na mitutu ya bunduki; kama ulivyoona wakishangilia maandamano ya CHADEMA yalivyo zimwa.

Hawa hakuna chochote kinacho wastua sasa hivi.
Wakati huu wanajuwa kazi kubwa wanayotakiwa kuikamilisha ni kuwatumia polisi vilevile walivyofanya hapo chaguzi zitakapo wadia. Wao hawana shida tena na wananchi watafanya nini.
 
Jeuri yao inatokana na uhakika wa kushinda uchaguzi kwa mbinu za wizi kama alivyosema Nape na Ng'umbi, nk
 
Naomba tufike huko maana tumechelewa sana
Hapana.
Mimi ninatofautiana nawe katika hili bila ya kusita kabisa.

Hatuhitaji kujengeana chuki baina yetu sisi kwa sisi kwa sababu tu ya viongozi wabovu tulio nao. Ni jukumu letu kuwashughulikia hawa hawa viongozi.

Njia zipo nyingi sana za kuwakomesha hawa.
 
Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.

Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa

Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya
Lakini walipopigwa mabomu na virungu siku ya Vijana Duniani haikuwa chuki.
 
Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.

Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa

Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya
Wewe ndio unapanda mbegu za chuki, na mmetumwa kuharibu
 
Chuki zilianza kitambo sana! Hiki kinachofanyika leo ni mkolezo tu!
Na chanzo ni ccm kulewa madaraka.
 
Wewe ndio unapanda mbegu za chuki, na mmetumwa kuharibu
Kwa hiyo wewe unaona watu wanaupendo na vyombo vya dora, na viongozi, au wanachama wa Chadema wanaupendo na wa CCM au wasani wanaoshabikia CCM na watu wa vya vya upinzani kuna upendo?
 
Back
Top Bottom