Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

My Instincts: Ishu ya " Hamida ameniacha" ni Tangazo la biashara.

My Prediction

#Soon mtasikia interview na Mganga wa Hamida.

#New Instagram Page : " Jamaa Nilie achwa na Hamida.

# Jamaa alie achwa na Hamida atapata management. U will never do any interview with him without talking to his manager first.

# Hamida ameniacha T.shirt.
# Bajaji, Bodaboda na daladala zilizo andikwa " Hamida ameniacha"

# New Song in town " Hamida ameniacha"

I.might be wrong.

Anyways: Honestly wanawake wanao itwa Hamida huwa wanajua sana mapenzi.

Just like wadada wanaoitwa : Habiba, Samyra na Farida.

Ni hatari sana Mzee.
 
Back
Top Bottom