Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani Hamida atakavyokumbuka hiyo picha ndiyo atazidi kumkataa kabisa maana mashost watamchekaWakuu halaf eakati jamaa anagalagala na hamida alikuwepo kwenye tukio. Nimesikia akiambiwa hamida ingia ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mambo ya ajabu ndio yanaongoza kutuingizia kipato..ndio maana likitokea jambo la ajabu kwetu huwa fursadaaa yani wabongo tupo speed kwenye mambo ya ajabu.! hv hy ishu imetokea lini mana me hy video nmeiona ht saa 1 haijapita.?
Naomba uni-brief kidogo..huyo Hamida kafanyaje??,,Maana kila sehemu hamida hamida..
Ni ukweli mkuu. Halafu sio Malaya wala mashangingi. Wadada wengi wenye majina hayo wanakuwaga kizazi Sana. And most of the time , Samyra is the best of allHamida
Farida
Habiba
Samira
Haya majina ngoja niyafanyie kazi Kama Kuna ukweli
Nimebahatika kusoma na hao wote kasoro Hamida. Samira mhhhNi ukweli mkuu. Halafu sio Malaya wala mashangingi. Wadada wengi wenye majina hayo wanakuwaga kizazi Sana. And most of the time , Samyra is the best of all
Eminatha jeNi ukweli mkuu. Halafu sio Malaya wala mashangingi. Wadada wengi wenye majina hayo wanakuwaga kizazi Sana. And most of the time , Samyra is the best of all
Unawaonaje lakini? Walikuwa wametulia?Nimebahatika kusoma na hao wote kasoro Hamida. Samira mhhh
Sina Experience now mkuu. Hao wa majina niliyo yataja Nina experience now
πππππ wabongo!!πππ