Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Habari za Leo,
I hope mko powa.
Jana nilikuwa nasoma comment kwenye uzi fulani mtu mmoja ameandika hivi hata dada yake wakuzaliwa analala naye yaani anafanya mapenzi naye. Hii ilinisikitisha sana.
Sijakukrem ID yako ila imeniuma nimeona niseme dada yako awe mdogo au mkubwa. Huyo ni mama yako muheshimu kabisa usivunje mipaka eti unapita naye. Kama humu unatabia hizi jaribu kuacha ni mbaya sana ewe baba au mama au familia mlioozoea aibu na laana kama hii imetokea wapi? Muwe na mipaka kama umalaya umekuzidi basi ikate uishi kwa amani.