Kuna comment moja iliyonisikitisha sana

Kuna comment moja iliyonisikitisha sana

Mambo yao waachie wenyewe...na ukiendelea basi wewe ndo unahusika na hio michezo maana aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea
Usiseme mi mjinga wewe ndio mjinga unayeunga hoja za kijinga zakuwala dada zenu hatutowaachia ng'o lazima tuvunje hizi mila za upotofu eti unamla dada yako au mdogo wako sawa na mama yako mzazi?
Shame on you all.
 
Kama unamdhubutu dada yako basi hutoona aibu hata kwa mama yako
 
Usiseme mi mjinga wewe ndio mjinga unayeunga hoja za kijinga zakuwala dada zenu hatutowaachia ng'o lazima tuvunje hizi mila za upotofu eti unamla dada yako au mdogo wako sawa na mama yako mzazi?
Shame on you all.
Mwachie MWENYEZIMUNGU Atahukumu yote...we hiyo kazi huiwezi....Leo utaanzisha thread ya wanaokula dada...kesho utaanzisha thread ya wanaokula watoto wao..kesho kutwa utaanzisha thread ya wanaokula shemeji yao.... utaweza hio kazi kweli
 
Pole kwa masikitiko, ukisoma maandiko utagundua haya mambo yalikuwepo toka zamani (inawezekana wanaoyafanya wamepatilizwa laana za waliowatangulia)

Kikubwa ni kuhakikisha wewe na nyumba yako mnaishi kama Mungu wenu anavyotaka muishi.

Nb;- Nina hakika sio watu wote wataiona pepo ila hakikisha wewe sio mmoja ya watakaoikosa pepo.
 
Mwachie MWENYEZIMUNGU Atahukumu yote...we hiyo kazi huiwezi....Leo utaanzisha thread ya wanaokula dada...kesho utaanzisha thread ya wanaokula watoto wao..kesho kutwa utaanzisha thread ya wanaokula shemeji yao.... utaweza hio kazi kweli
Shemeji ni halali yao
 
Usiseme mi mjinga wewe ndio mjinga unayeunga hoja za kijinga zakuwala dada zenu hatutowaachia ng'o lazima tuvunje hizi mila za upotofu eti unamla dada yako au mdogo wako sawa na mama yako mzazi?
Shame on you all.
Umeumia sana dada pole. Inawezekana ww ni dada wa mtu ukaliwa kimasikharana kaka yako
 
Habari za Leo,
I hope mko powa.
Jana nilikuwa nasoma comment kwenye uzi fulani mtu mmoja ameandika hivi hata dada yake wakuzaliwa analala naye yaani anafanya mapenzi naye.
Hii ilinisikitisha sana.

Sijakukrem ID yako ila imeniuma nimeona niseme dada yako awe mdogo au mkubwa.
Huyo ni mama yako muheshimu kabisa usivunje mipaka eti unapita naye.
Kama humu unatabia hizi jaribu kuacha ni mbaya sana ewe baba au mama au familia mlioozoea aibu na laana kama hii imetokea wapi?
Muwe na mipaka kama umalaya umekuzidi basi ikate uishi kwa amani.
Uzi tayari!! Kwani ungemjibu kwenye hiyo comment yake ungepungikiwa na nini?
 
Habari za Leo,
I hope mko powa.
Jana nilikuwa nasoma comment kwenye uzi fulani mtu mmoja ameandika hivi hata dada yake wakuzaliwa analala naye yaani anafanya mapenzi naye.
Hii ilinisikitisha sana.

Sijakukrem ID yako ila imeniuma nimeona niseme dada yako awe mdogo au mkubwa.
Huyo ni mama yako muheshimu kabisa usivunje mipaka eti unapita naye.
Kama humu unatabia hizi jaribu kuacha ni mbaya sana ewe baba au mama au familia mlioozoea aibu na laana kama hii imetokea wapi?
Muwe na mipaka kama umalaya umekuzidi basi ikate uishi kwa amani.
Umekuja kunisema huku

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom