Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Zanzibar ni nchi ya kiislamu ni ukweli usiopingika, ukienda Zanzibar ufuate mila na desturi za Zanzibar.Vipi huko Zanjibar
Bado hawajapiga marufuku kula chakula mchana magengeni ?
Hii dini ingeshika dola, wote tungesilimishwa kwa lazima.
Siku moja nilisali kanisa la mkunazini pale mji mkongwe waimbaji kwaya wanawake wote kichwani wamejistiri nywele kama tuonavyo wafanyavyo wanawake wa kiislamu au masista watawa.