Kuna dada kaniambia "I love you"

Kuna dada kaniambia "I love you"

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice.

Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much. Nilishtuka ila sikuonyesha na nilimjibu I love you too.

Nahisi kama nataka kukamatwa na uzee huu
 
Hapo ni sawa na nesi wa kike kukupa pole baada ya kukuchoma sindano,mkuu......
 
Alafu kakukosea sana adabu, anakununuliaje "vichocolate" mzee kama wewe?
 
Ww ni mzee wasema ,
Halafu ukapewa vichocolate na juice,
Boom grenade likarushwa, ukàtoa jibu kama na ww ulikua unatamani kupigwa bom,

Hauna tofauti na dada wa form2 alieambiwa ''i lv u" kwa chipsi yai[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom