Kuna dada kaniambia "I love you"

Kuna dada kaniambia "I love you"

πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† ni neno la kawaida tu usiliffikirie kivingine.
 
Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice.

Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much. Nilishtuka ila sikuonyesha na nilimjibu I love you too.

Nahisi kama nataka kukamatwa na uzee huu
Kimbia acha unyonge,
Usipende mtelemko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kama ulivyojibu wewe kwa kuwa hukua na namna basi na yeye ndivo alivyotamka kwa kukosa namna....
 
Back
Top Bottom