Kuna dada kaniambia "I love you"

Kuna dada kaniambia "I love you"

Kakudanga... Nya
Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice.

Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much. Nilishtuka ila sikuonyesha na nilimjibu I love you too.

Nahisi kama nataka kukamatwa na uzee huu

Jr[emoji769]
 
I like you=Hii inatumika kuonesha kwamba unampenda mtu ila ule upendo usiyo husisha hsisia za kimapenzi,kama unapenda uwepo wake n.k

I love you=Hii inatumika baina ya watu wenye hisia za kimapenzi kwamba unampenda lakini upendo wenu umechukua hatua nyengine ya kutaka hadi kuonganisha nyuchi.

JIONGEZE!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kwahiyo tuseme mimi nikimuambia mwanamke mwenzangu "I love you" maana yake nataka tufike huko ?? We dunia hebu simama tu mi nishuke kwa kweli !!
 
huyo I LOVE U kafungua njia leo akipita mchokoze kizeezee mwambie chocolate tamu lkm kisukari (diabates) hakuna nyingine
ukiona kasimama kalegeza kiuno Mzee ngoma utachukua siku yoyote
Ila akiongeza mwendo na kufunga vioo subiri ataleta kazi ingine sasa hapo funga vioo na ongeza mafuta km huoni taraffic light ni njano wahiwahi mabo yako corona vinapotezaga muda ujue vinawaandalia teen wenzako mlo
Ukwaju kweli wewe ni mtaalamu
 
Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice.

Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much. Nilishtuka ila sikuonyesha na nilimjibu I love you too.

Nahisi kama nataka kukamatwa na uzee huu
Kwa ushauri zaidi kamwambie mkeo
 
Mkuu piga kazi upo Tz aka bongoland.
Hakuna matumizi sahihi ya maneno.
like = love.
Umemuona kwa mara ya kwanza tayari unamwambia i love you.

Piga kazi "i love you" baada ya kumtimizia shida zake ni salamu kama salamu zingine haina tofauti hi, hello na BYE
 
Duuh kwahiyo tuseme mimi nikimuambia mwanamke mwenzangu "I love you" maana yake nataka tufike huko ?? We dunia hebu simama tu mi nishuke kwa kweli !!
Mnachotakiwa ni kujua matumizi sahihi kwa muda sahihi kingine ni kuwa unajua maana ya "kutaka hadi?"
 
Back
Top Bottom