Kuna dada kaniambia "I love you"

Kuna dada kaniambia "I love you"

mwalimu wangu wa communication skills alisema....I Like you hutumika sana sana na wamarekani wakiwa na hisia kali za kimapenzi kwa mtu fulan...bt I Love you hutumiwa na wa british[emoji848]..sasa sielewi ...labda wataalam wa linguistics waje kutusaidia hapa[emoji2089][emoji2089]
Maana ya i like u imeniua mbavu[emoji2296]

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Leo nimeonana nae tena kameniambia mchana ataniletea lunch. Hapa natengeneza njaa sinywi hata maji
 
mwalimu wangu wa communication skills alisema....I Like you hutumika sana sana na wamarekani wakiwa na hisia kali za kimapenzi kwa mtu fulan...bt I Love you hutumiwa na wa british[emoji848]..sasa sielewi ...labda wataalam wa linguistics waje kutusaidia hapa[emoji2089][emoji2089]

Sent using [Samsung galaxy s10]
Na akasahau kukwambia kuwa "like" inaonesha interest but "love" inaenda more deeper than that .
 
Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice.

Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much. Nilishtuka ila sikuonyesha na nilimjibu I love you too.

Nahisi kama nataka kukamatwa na uzee huu
Just relax,don't panic,hana tofauti na yule wa nyumbani,tofauti ni kwenye body tu,isikufanye ukasaliti ndoa yako...
 
Eti vi chocolate vya kula, kwani kuna vi chocolate vya kufanyia usafi jikoni? Mwambie umeridhia ombi lake na muombe asikutende 😀😆
 
Im a grown up man with university son. Kilichonishangaza alisema kwa aibu sana na alikuwa anasita.
Nimekukumbuka. Wewe ndiye mwenye nyumba tatu. Moja unayoishi ina thamani ya milioni 300 na nyingine za milioni 100. Najaribu kuwaza, uliwezaje kupata milioni 500 huku umeajiriwa kwa akili hizi ulizonazo. Btw sijasema wewe ni mjinga kabisa.
 
Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice.

Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much. Nilishtuka ila sikuonyesha na nilimjibu I love you too.

Nahisi kama nataka kukamatwa na uzee huu
We unashamgaaa mm nimeambiwa I hate you so much a nikamwagiwa na Wine niliyonunua watu mnabahati
 
Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice.

Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much. Nilishtuka ila sikuonyesha na nilimjibu I love you too.

Nahisi kama nataka kukamatwa na uzee huu
Osha rungu hapo...ila jua ndio ndoa yako itaanza kuwa fall of gravity...
 
Back
Top Bottom