Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice.
Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much. Nilishtuka ila sikuonyesha na nilimjibu I love you too.
I like you=Hii inatumika kuonesha kwamba unampenda mtu ila ule upendo usiyo husisha hsisia za kimapenzi,kama unapenda uwepo wake n.k
I love you=Hii inatumika baina ya watu wenye hisia za kimapenzi kwamba unampenda lakini upendo wenu umechukua hatua nyengine ya kutaka hadi kuonganisha nyuchi.
hahahahah, funzadume nyie ndio ukiambiwa "umependeza" basi hiyo nguo unaivaa kila siku, bila kujua kuwa ni usemi tu hata ukiwa hujanoga mtu anaweza kukuambia umependeza.
All in All, I LOVE YOU SO MUCH
hahahahaha