Kuna dada katumiwa kadi ya mwaliko wa harusi na mwanaume aliekuwa na malengo nae/future almanusra ajitie kitanzi

Dah pole sana kaka’ake 😢
 
Pole sana 😢
kwa hili gazeti Mheshimiwa akufikilie
 
Mapenzi bhana kizungumkuti

Sasa mtu atakaengia kwa relationship na huyo dada atajua kapata kumbe mtu ana mavidonda hayajapona

Fucv love
 
Utaweka assumptions za bure. Kuna watu wakitaka lao hawawazi wewe utahisije

Kuna sister namjua. Alishavalishwa Pete, katangaziwa ndoa na vikundi vya michango vishaanza kazi.

Akaja agwa na jamaa kuwa anaenda mkoa kuna issue anafukuzia ili apate pesa zaidi za kufanya harusi ya ndoto yao. Kiuhalisia jamaa alienda kuoa kimya kimya na bahati tu, wote kiasili wanatokea mkoa mmoja kwa hiyo haikuchukua wiki yule sister kujulishwa

Almanusra awe chizi. Kumbuka ni jamaa yake wa pika pakua muda mrefu na kashapewa hadi michango kazini kwao. Anaanzaje maisha. Acha kabisa kaka. Usiweke excuse. Kuna watu ni makatili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…