Kuna dada katumiwa kadi ya mwaliko wa harusi na mwanaume aliekuwa na malengo nae/future almanusra ajitie kitanzi


Kaka ndege najua baada ya hapo brother etu.. alikua strong than ever mutu na nusu. .
Yes, dhahabu ili iwe nzuri lazima ipate kuungua kidogo 😁.
 
Jamaa kamfinyia huyu dada vitendo vya kilusifa kamtumia kadi ya mwaliko wa harusi kwamba anaoa mwanamke mwingine.


dada kawahiwa na marafiki zake kidogo ajitie kitanzi.
Kwa nini kwa wanaume wengi inajulikana kukataliwa ni jambo la kawaida, tunaambiwa "no means no", na ukikataliwa mwanamme unatakiwa ukubali, ukilwta king'ang'anizi utaitwa kila jina.

Lakini, kwa baadhi ya wanawake, wanakuwa na ki g'ang'anizi sana. Hawakubali kukataliwa , na wakimataliwa, badala ya kukubali tu "no means no" wanaleta drama nyingi sana?

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/17T9oKX5MC/
 
Aaaseee wengine mnapenda kurogwa wenyewe nyie mjue, unamuachaje mtu hivyo jamani.
 
Akubali matokeo aendelee na maisha mengine. Hakua wake na huenda kuna kitu kibaya kaepushwa nacho..!!

Muhimu asije kumkaribisha tena kwenye maisha yake..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…