Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Wanapanga madeal ya kuuziana nafasi! We subiria uone!Kuna ukweli, ila vipi na wale wa upinzani watakubali tu kuachia mamluki kutoka CCM!
Aliloleta mtoa mada ndio plan yao na ulichosema ni ukweli pia. Hata kama watatoa majina tar. 25 siku hiyo hiyo watu watahamia ACTSio dawa bado watakuwa na muda.
Siku wakikatwa siku hiyo wanateuliwa na upinzani wanaenda kuchukua form NEC katika muda ule ule ambao na hao wateule wa CCM watakakuwa wanachukuwa form hizo.
Achana na siasa wewe! Hata hao ambao ni wagombea wanaweza wakapewa dau wakapisha miCCM. Achana kabisa na majizi ya CCM wewe! Kama waweza kununua wajumbe zaidi ya mia tano watashindwa nini kumnunua mtu mmoja!Wapinzani gani? Chadema tayari wana wagombea, labda cuf
Kwani huko upinzani hakuna walioongoza kura za maoni? Ina maana wakija waliokatwa CCM mtawapisha? Wapinzani mna mawazo ya hovyo kabisa eti wakikatwa CCM watakuja mpinzani, hamuwaaminu wagombea wenu?Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani.
Kuna nijadala inaendelea kuwa hao watakaokosa na huku wameongoza upinzani wameshajiwekea mazingira mazuri ya kuhamia upinzani na wanasubiri tu CCM itoe majina.
Ndugu yangu anayefanya kazi Kyela amenitonya aliyeongoza kwa Mwakyembe anasubiri tu CCM imrudishe Mwakyembe yeye ahamia CHADEMA.
Tayari ameshaandaliwa mpango mzima na Sugu na ameshaongea na mteule wa CHADEMA Kyela. Wengi watashangazwa!
Kuliona hilo tayari CCM inachukua tahadhari na inacheoenda kukifanya ni kutoa majina ya wateule wake siku mbili kabla ya Tume ya Uchaguzi kufunga mapokezi ya Fomu hizo ili kuepusha watu hao kuhamia upande wa pili.
Uwezekano ni mkubwa CCM kutoa majina yake tarehe 24 au Tar 25 ili kujihami na wahamaji. Stay tuned!
Watazuia wasihamie upinzani ila hawatazuia hao waliokatwa majina na wafuasi wao kuwapigia kura wapinzani.Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani.
Kuna nijadala inaendelea kuwa hao watakaokosa na huku wameongoza upinzani wameshajiwekea mazingira mazuri ya kuhamia upinzani na wanasubiri tu CCM itoe majina.
Ndugu yangu anayefanya kazi Kyela amenitonya aliyeongoza kwa Mwakyembe anasubiri tu CCM imrudishe Mwakyembe yeye ahamia CHADEMA.
Tayari ameshaandaliwa mpango mzima na Sugu na ameshaongea na mteule wa CHADEMA Kyela. Wengi watashangazwa!
Kuliona hilo tayari CCM inachukua tahadhari na inacheoenda kukifanya ni kutoa majina ya wateule wake siku mbili kabla ya Tume ya Uchaguzi kufunga mapokezi ya Fomu hizo ili kuepusha watu hao kuhamia upande wa pili.
Uwezekano ni mkubwa CCM kutoa majina yake tarehe 24 au Tar 25 ili kujihami na wahamaji. Stay tuned!
Kwani sheria ya vyama vya siasa inasemaje?Aliloleta mtoa mada ndio plan yao na ulichosema ni ukweli pia. Hata kama watatoa majina tar. 25 siku hiyo hiyo watu watahamia ACT
Kwa maneno mafupi ccm inaenda kujiangamiza yenyewe! Mungu ameamua kuwapiga upofu.Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani.