Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Saa Hizi Waziri Anademka 😑😐Mtag waziri mwenye dhamana
Mjinga kweli wewe mafua Hayo bhana mimi nipo hapa kibaoni mbona ni hali ya kawaida Unaijua Corona weweHatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo...
sore throat, mbona kawaida hii kipindi cha baridi ?maumibu kwenye koo ukimeza mate au chakula
Mtag waziri mwenye dhamana
Ujinga wangu upo kwenye nini haswa? Kwani korona unayoijua wewe ni ipi? Ile ya watu waliopo ICU?Mjin
Mjinga kweli wewe mafua Hayo bhana mimi nipo hapa kibaoni mbona ni hali ya kawaida Unaijua Corona wewe
Chukueni tahadhari za kujikinga zaidi,nawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni,epuka misongamano,au vaa barakoa kwenye misongamano ,na jitokeze kuchanjwa kituo cha karibu na ulipo.Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo...
Poleni Tz.. lakini watu wabadilike, na waache kejeli na kuidharau corona' aisee..Corona sasa hivi ni kila mahali. Dar hospitali zote kubwa huwezi kupata nafasi ICU. Zote zimejaa wagonjwa wa corona.
Jamaa anataka atujengee hofu huyu!! Mimi niko huku Lipangalala, hakuna chochote!!Mjin
Mjinga kweli wewe mafua Hayo bhana mimi nipo hapa kibaoni mbona ni hali ya kawaida Unaijua Corona wewe
Kama upo serious kweli na upo hayo maeneo tembelea hiyo mitaa nayosema. Fika mpaka shule ya secondary Shungu. Uje umevaa barakoa. Usije pua juu kama mbwa wa polisi. Fanya mazungumzo na watu wa hayo maeneo.Jamaa anataka atujengee hofu huyu!! Mimi niko huku Lipangalala, hakuna chochote!!
Mwisho wa dunia umekaribia kabisa.Hali ya hewa imechafuka sana duniani mpaka tunashangaa
Kweli mafuriko na summer hii Ulaya?
Huko China kadhalika na Uturuki moto wa ajabu
Kwa sasa hali ya hewa ni sababu ya magonjwa mengi
Mwisho wa dunia umekaribia kabisa.
Hauchanji chale?Acha kutia watu khofu wewe.
Hatuchanji
Sio uongo
Hili halina ubishi
Mungu atunusuru maana hali ni mbaya