Kuna dalili za game ya Yanga kutooneshwa kukwepa aibu

Kuna dalili za game ya Yanga kutooneshwa kukwepa aibu

Dalilli zimeanza kuonekana...mpka sasa wale wa Azam hakuna kitu..
 
You were right comrade, the game is not coming live.
 
Hawa azam huwa wanajinasibu kwa vitu vilivyo nje ya uwezo wao, wamesha tuona wabongo mafala tulipie king'amuzi chao ili hali wanajua hawana uwezo wa kuonyesha baadhi mipira wanayojinasibu wanaonyesha.
Bora dstv tumbafu.
 
Yanga walipelela semi trailer na tela lake wakaweka golini na kutoa matairi kisha wakaenda kutalii cairo.
 
Kile kitimu kilichomto Simba, cha Wamakonde wa Msumbiji jana kiliadhibiwa 6-0, lakini hicho nacho kibonde wake ni Simba!
Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv kama kama kawa kama dawa..View attachment 1252559
Updates: Azam wameshindwa kwenda mbashara.
Nilichokua nahisi kimetimia..pamoja na matangazo Azam wameshindwa kuonesha.
 
Kile kitimu kilichomto Simba, cha Wamakonde wa Msumbiji jana kiliadhibiwa 6-0, lakini hicho nacho kibonde wake ni Simba!
Sio mbaya bado Yanga wana nafasi ya kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa..
 
Back
Top Bottom